Ubora wa Sasa wa Hewa
Leo
4/5
18
AQI
Bora kabisa
Ubora wa hewa unawafaa watu wengi; furahia shughuli zako za kawaida za nje.
Kulingana na Uchafuzi wa Sasa
Pata maelezo zaidi kwenye
Kwa saa iliyopita
O 3
Bora kabisa
18
53 µg/m³
Ozoni ya kiwango cha ardhi inaweza kuzidisha magonjwa yaliyopo ya kupumua na pia husababisha uwasho wa koo, maumivu ya kichwa, na maumivu ya kifua.
...zaidi
Ozoni ya kiwango cha ardhi inaweza kuzidisha magonjwa yaliyopo ya kupumua na pia husababisha uwasho wa koo, maumivu ya kichwa, na maumivu ya kifua.
...zaidi
18
53 µg/m³
PM 2.5
Bora kabisa
10
3 µg/m³
Dutu za Uchafu ni chembe za uchafuzi zinazoweza kupumuliwa zenye kipenyo chini ya mikromita 2.5. Ambazo zinaweza kuingia kwenye mapafu na mfumo wa damu, na kusababisha matatizo ya mabaya ya kiafya. Matokeo mabaya zaidi yako kwenye mapafu na moyo. Kuathiriwa kunaweza kusababisha kukuhoa na ugumu wa kupumua, pumu iliyoongezeka, na kukua kwa ugonjwa sugu wa kupumua.

PM 10
Bora kabisa
8
6 µg/m³
Dutu za Uchafu ni chembe za uchafuzi zinazoweza kupumuliwa zenye kipenyo chini ya mikromita 10. Chembe ambazo ni kubwa kuliko mikromita kubwa zaidi ya 2.5 zinaweza kupatikana kwenye hewa, na kusababisha matatizo ya kiafya. Kuathiriwa kunaweza kusababisha uwasho wa macho na koo, kukohoa au ugumu wa kupumua, na pumu iliyoongezeka. Kuathiriwa zaidi mara kwa mara kunaweza kusababisha madhara kali zaidi ya kiafya.

NO 2
Bora kabisa
7
3 µg/m³
Kupumua viwango vya juu vya Nitrojeni Dioksidi huongezea hatari ya matatizo ya kupumua. Kukohoa na ugumu wa kupumua ni matatizo ya kawaida na matatizo kali zaidi ya kiafya kama vile maambukizi ya kupumua yanaweza kufanyika ukiathiriwa kwa muda mrefu.

Tazama Zaidi
Tazama Kidogo
Bora kabisa
0 - 19
Ubora wa hewa unawafaa watu wengi; furahia shughuli zako za kawaida za nje.
Nzuri kiasi
20 - 49
Ubora wa hewa kwa ujumla unakubaliwa na watu wengi. Hata hivyo, makundi ya watu wanaoathirika yanaweza kuwa na dalili kiasi hadi wastani kutokana na kuathirika kwa muda mrefu.
Duni
50 - 99
Hewa imefikia kiwango cha juu cha uchafuzi na haifai makundi ya watu wanaoathirika. Punguza muda uliochukua nje ikiwa unahisi dalili kama vile ugumu wa kupumua au kuwashwa koo.
Sio nzuri
100 - 149
Makundi ya watu wanaoathirika wanaweza kuhisi madhara ya kiafya moja kwa moja. Watu walio na afya nzuri wanaweza kuwa na ugumu wa kupumua na kuwashwa koo wakiathirika kwa muda mrefu. Punguza shughuli za nje.
Mbaya sana
150 - 249
Makundi ya watu wanaoathirika yanaweza kuhisi madhara moja kwa moja na wanapaswa kuepuka shughuli za nje. Watu walio na afya nzuri wana uwezekano wa kuwa na ugumu wa kupumua na kuwashwa koo; ikiwa wataathirika kwa muda mrefu.
Hatari
250+
Kuathiriwa na hewa, hata kwa dakika chache, kunaweza kusababisha madhara mabaya ya kiafya kwa kila mtu. Epuka shughuli za nje.
Liverpool Ubora wa Sasa wa Hewa
Bora kabisa
Hatari
Bora kabisa
Nzuri kiasi
Duni
Sio nzuri
Mbaya sana
Hatari
Utabiri na Ubora wa Hali ya Hewa wa Saa 24
Utabiri wa Kila Siku
Leo
4/5
18
AQI
Bora kabisa
Ubora wa hewa unawafaa watu wengi; furahia shughuli zako za kawaida za nje.
Jumatatu
5/5
17
AQI
Bora kabisa
Ubora wa hewa unawafaa watu wengi; furahia shughuli zako za kawaida za nje.
Jumanne
6/5
18
AQI
Bora kabisa
Ubora wa hewa unawafaa watu wengi; furahia shughuli zako za kawaida za nje.
Jumatano
7/5
19
AQI
Bora kabisa
Ubora wa hewa unawafaa watu wengi; furahia shughuli zako za kawaida za nje.
Data yote ghafi ya ubora wa hewa na maelezo yamepatikana kutoka Plume Labs. Ijapokuwa AccuWeather inalenga kutoa maelezo sahihi yanayohusiana na ubora wa hewa na utabiri wa hali ya hewa, huenda data au maelezo yasitegemee hakiki ya uthibitisho wa ubora ili kubainisha usahihi wake. Maelezo yanayohusishwa na ramani za ubora wa hewa ni ya wakati halisi kadri iwezekanavyo na huonyeshwa punde tu yanayopatikana baada ya kuwasilishwa kwetu, ikiwa ni pamoja na kielezo cha sasa, utabiri wa hali ya hewa, data ubora wa hewa wa kila siku na kila saa. Data na maelezo yote yanawasilishwa tu kwa manufaa ya umma na yanapaswa kuchukuliwa kuwa ya mwisho kwa njia yoyote ile. Ufuatiliaji wote wa ubora wa hewa unategemea vikwazo vya vifaa na sensa na mabadiliko ya vipindi ambavyo vinaweza kusababisha usomaji usio halali au usio sahihi. Data na maelezo yote ya ubora wa hewa yametoka kwa seti tofauti ya thamani ya data ya ufuatiliaji wa hewa kulingana na viwango vilivyorekodiwa vya uchafuzi mkubwa wa kila siku. Kisha vipimo ghafi hugeuzwa na Plume Labs kuwa thamani zenye Kiolezo cha Ubora wa Hewa (AQI), kwa kutumia viwango na mwongozo uliotengenezwa na Shirika la Ulinzi wa Kimazingira (EPA) na Shirika la Afya Duniani (WHO), kati ya tafiti nyingine za kisayansi na Plume Labs. Data ya ubora wa hewa na maelezo inaweza kubadilika wakati wowote. AccuWeather haina jukumu au wajibu wa kisheria kwa usahihi, ukamilifu, au usawa wa data na maelezo ya ubora wa hewa, na moja kwa moja inakanusha hasara au uharibifu wowote na wote ambao unaweza kutokea na wewe au mtu mwingine iwe moja kwa moja au isio ya moja kwa moja kama matokeo ya maelezo yoyote yaliyopatikana kutoka kwa data na maelezo ya ubora wa hewa. Kutegemea data na maelezo yoyote ya hali ya hewa kwa ushauri wowote, ikiwa ni pamoja na ushauri wa matibabu, kumekatazwa kabisa. AccuWeather inakanusha uwakilisho na hakikisho zozote na zote kuhusiana na data na maelezo ya ubora wa hewa, ikiwa ni pamoja na lakini haijakomea kwa hakikisho zozote za usahihi, kufaa kutumiwa, na uwezo wa kuuzwa. Data na maelezo yote ya ubora wa hewa yanategemea Sheria na Masharti ya Jumla ya Plume Labs yaliyo hapa.
https://tutorial.plumelabs.com/post/terms_of_use/